Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nadhali Van Gaal atatakiwa kufanya maamuzi magumu kama ifuatavyo.

1. Van Pasie atatakiwa kuwekwa bench,mchango wake tangu msimu unaanza umekuwa mdogo sana.

2. Mechi yetu na Chelsea Van Gaal atatakiwa kucheza mfumo wa kudefence zaidi kuliko kushambulia sana.Man ikiwa na mpira ni nzuri sana lakini wakipoteza utadhani ni timu ya mchangani.Ningependa Blind na Carrick wacheze nafasi ya viungo wakabaji halafu Fellain acheze nafasi ya kiungo mshambuliaji.Lazima Man itumie mfumo wa mshambuliaji mmoja badala ya washambuliaji wawili.Januzaj asipangwe kabisa.

Golini km kawaida..!

Beki Za pembeni ni Ivanovic na Luis.

Beki Za Kati ni Cahill na Terry

Viungo wakabaji ni Matic na Ramires

Viungo wa pembeni ni Willian na Hazard

Nyuma ya Striker ni Fabregas na Striker ni Costa...!

Hamtoki hapo....!
 
Kama sisi tuna matatizo kila idara mbona tumeshinda mechi 2 ugenini?How many games ww mwenye tatizo kidogo tu umeshinda over all na ugenini?

Kama mm nina tatizo kuliko ww iweje mm niwe na points nyingi zaidi yako?

Man U haiwezi shinda ugenini hata kwa team za daraja la 3 daaah(MK Dons)
Kushinda mechi hakumaanishi kama huna matatizo,msimu huu Game ambayo mmecheza vizuri ni dhidi ya Spurs tu game ya Southampton,QPR(Rodgers,na Gerrard wamekiri) mlikuwa mfungwe basi tu bahati ilikuwa kwenu.

Mashabiki wenzako wanalalamika Lovren tangu amekuja ni mzigo ,wengine Baloteli/Lambert/Borini mizigo,wengine Gerrard kachoka.Wengine kocha mbovu anapanga fomation mbovu
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
manchester united kupata angalau draw tu dhidi ya Chelsea na Man city ni ngumu zaidi ya MBWANA SAMATA kuwin Ballon d'or...
 
Manchester United wameImprove this season kwa kukusanya Points 12 , point 1 zaid dhidi ya zile 11 za last season!!!!!
 
Kushinda mechi hakumaanishi kama huna matatizo,msimu huu Game ambayo mmecheza vizuri ni dhidi ya Spurs tu game ya Southampton,QPR(Rodgers,na Gerrard wamekiri) mlikuwa mfungwe basi tu bahati ilikuwa kwenu.

Mashabiki wenzako wanalalamika Lovren tangu amekuja ni mzigo ,wengine Baloteli/Lambert/Borini mizigo,wengine Gerrard kachoka.Wengine kocha mbovu anapanga fomation mbovu

Mmeimarika this season..points 12 si haba!!!!
 
Nadhali Van Gaal atatakiwa kufanya maamuzi magumu kama ifuatavyo.

1. Van Pasie atatakiwa kuwekwa bench,mchango wake tangu msimu unaanza umekuwa mdogo sana.

2. Mechi yetu na Chelsea Van Gaal atatakiwa kucheza mfumo wa kudefence zaidi kuliko kushambulia sana.Man ikiwa na mpira ni nzuri sana lakini wakipoteza utadhani ni timu ya mchangani.Ningependa Blind na Carrick wacheze nafasi ya viungo wakabaji halafu Fellain acheze nafasi ya kiungo mshambuliaji.Lazima Man itumie mfumo wa mshambuliaji mmoja badala ya washambuliaji wawili.Januzaj asipangwe kabisa.

Ushabiki bhana...sometimes huwa wanasema ushabiki ni UPOFU...

Ukipigwa goal chini ya 3 na chelsea..shukuru sana!!!!
 
manchester united kupata angalau draw tu dhidi ya Chelsea na Man city ni ngumu zaidi ya MBWANA SAMATA kuwin Ballon d'or...
Na Liverpool kuchukua ubingwa wa EPL ni sawa na Tanzania kucheza fainali za kombe la dunia
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mmeimarika this season..points 12 si haba!!!!
BRENDAN RODGERS is SHIT!

LIVERPOOL BACK-FOUR is STILL SHIT

4-3-21 FORMATION is SHIT..

Ts gonna be a looooooong season!

Naona unakuja kupunguza machungu huku,karibu but msimu huu mtarudi kwenye nafasi zenu za miaka yote
You Will Never Win Again,
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Haya maneno si uliandika mwenyewe

guys are you serious???

man utd kafungwa magoli 12.....liverpool kafungwa magoli 12.....man utd ana magoli ya kufunga 15....liverpool ana magoli ya kufunga 13....SASA MTU WA LIVERPOOL KUJA HAPA KUSEMA MAN UTD WANA DEFENSE MBOVU SI KICHEKESHO!!! WASEME WATU WA CHELSEA AU MAN CITY HAO WENGINE WANAJIONA AFADHALI KUMBE NDIO WAKO HO.
 
Hahaha!! Mechi ya jana sikuangalia sina lolote la kuisemea lakini nadhani bado tatizo defense,tutafika tu mbona na tutawapita.

Pole na heri ulijiondolea presha
Mjitahidi dhidi ya Chelsea mkilega tena mtatutafuta Sana kwenye msimamo
 
Naona unakuja kupunguza machungu huku,karibu but msimu huu mtarudi kwenye nafasi zenu za miaka yote
You Will Never Win Again,

hahahahahahahaha!!!!

Manure huwez kumalza juu ya LFC, me nikimaliza wa 10, we utamaliza wa 11..

You had fixture nyepes sana katika game zako 8 zilizopita, bado hujacheza na top side yoyote zaid ya Everton!!

You just shit, Coz umecollect point chache sana katka fixture nyepes saaana...kitu ambacho hata wewe hukutegemea!!!

with Di maria, falcao, Mata, Rooney, Van persie etc..ulitakiwa uwe mbaaaali sana..but u still shit..Striking force yako ni kali zaidi ya Chelsea na Man city (kwa hayo majina tu) but u still shit...na hakuna mchezaj yoyote unayemtegemea ambaye yupo out injured!!!!

Manure are shit, same to LFC, Arsenal, Spurs and Everton!!!

kwahyo msituambie kuwa mnaImprove wakat everybody can see kuwa ur still Shit!!!!

and week zinazokuja zinaweza zikawa week ngumu sana katika maisha yenu ya kishabiki!!!
 
EPL ina fixture nyepesi ?? Last season Chelsea hakufungwa hata game moja na hizo unazoziita timu ngumu but (Sunderland,Everton,Newcastle,Stoke,Aston Villa) walichukua point kwa Chelsea

Loserfool umecheza na Spurs,Aston Villa,Everton,Southamptom,West Ham,Man City (ukafungwa),QPR,West Brom
Msimu huu jukwaa lenu litakufa kama lilivyokuwa miaka ya nyuma
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
And nothing makes me happier than to see Manure loose!!!!!

tapatalk_1412796868555.png

Kwa statistics kama hizi unategemea nini? Endelea kupunguza stress because You Will Never Win Again
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom