MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Good game. Van Gaal kampita Moyes kwa point moja
hahahahahahahahah!!!
Next: Chelsea and Man city AWAY!
what a GREAT time to be ALIVE!
Good game. Van Gaal kampita Moyes kwa point moja
hahahahahahahahah!!!
Next: Chelsea and Man city AWAY!
what a GREAT time to be ALIVE!
Which to which??
Which to which??
Good game. Van Gaal kampita Moyes kwa point moja
Huyu dogo si anatokea Benin?
Leo anaback track ile mbaya.
Angalia tofauti ya United na 4th spot kwa misimu hiyo miwili, ndiyo utajua which is which!
Hivi wewe si goons wewe? Unapata wapi nguvu ya kupiga kelele na huyo Aseno Chenga wenu?
Timu inajengeka vizuri sana sasa, ila tuna tatizo kwenye uporaji mpira kwa adui, hasa sehemu ya kati.
Ila tutaheshimiana tu.
Ova
badhani unamaanisha belahino ndio mrundi..Nimesikia BBC alikuja TZ Kwa miguu akitokea Kwa Burundi Kisha akachukua bus kwenda Nairobi kupanda ndege kwenda ulaya.
Daaah yaani pale ndiyo team imekaa vizuri?Mgonjwa anakataa uji na kwikwi inazidi kuchukua nafasi yake!
Mechi hizi mbili zimefuatana na Chelsea na Man City kweli kuna usalama kwa perfomance hii ninayo iona kwa mtani?
Mpira haupo hivyo chifu..tusubiri dk 90...
Mtani hali yenu sio njema kabisa!Tatizo hasa ni nn na usajili huu wa gharama kubwa?
Tatizo la United linajulikana ni defence,tofauti na nyie kuanzia beki,viungo,fowadi,kocha wote ni tatizo
Daa jana man united walitakiwa washinde ile gemu but ndio mpra,sijui tumejipangaje kuhusu gemu la chelshit