Tumepgwa nguzo tano za kiislam leo,kwa uzembe wa mafirauni wachache!!!
![]()
Who's the next manager .... .. .
Moyes Will be back.
Kama ilifanya kazi yake vyema na pochi nene iliyotumika kuwasajili £151 million basi wangefunga goli nyingine tatu na hivyo mngeshinda 6-5. Mlifunga goli lenu la tatu kwenye dakika ya 57 zikiwa zimebaki dakika 33 mpira kwisha lakini baada ya hapo mlikuwa ni mdebwedo tu huku wapinzani wenu katika dakika hizo 33 wakazifumania nyavu zenu mara nne na nyie ZERO, ZILCH, SIFURI. Kwa matokeo hayo bado timu nzima ilikuwa mdebwedo na si defence pekee yake.
Safu ya ushambulizi imefanya kaz yake vyema kwa kutengeneza goli tatu na attempt kadhaa zilizokuwa za hatari,ila morali yao ilishushwa na wazembe wachache ,so mimi siwez kuwalaumu!!
Duh maria noma
Poleni kwa kichapo. Hii ni EPL, baadhi ya washabiki wa Manu walidai Arsenal wachovu sababu walidraw hapo The King Power stadium na wao eti ndo walikuwa wameanza ligi pale OT wiki ilopita na QPR. Kuhusu refaree, leo kalikoroga, ila kila timu ya EPL itaonewa na kupendelewa. Manu walitakiwa wa-react ila hakukuwa na hiyo spirit. Poleni sana. Football is soo unfair sometimes when you have that talents at ur disposal and still u end up with such a debacle. At the end of the day, NIMEFURAHI na poleni sana.