Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Man u inanitesa sana jamani daaah
Na lile la kupiga nje ya msitari?? Hahahahaha
Inakutesaje mkuu??
Hakuna team ndogo epl. Tuwe makini sana
Mkuu hii timu yetu kama gari ya shamba, trip shamba trip garage
Nao Everton washapigwa 3-1 na Crystal Palace
Sio kweli only defenders tu ndo wametuangusha
hata kama wachezaji wetu walishndwa kuhml presha ya mchezo baada ya leicester kufufuka,kitu ambacho ni makosa kwa timu kubwa kama man u,
experience is the best teacher,acha kuchonga sana!
Thats y its better akastick kwenye central defending,kuliko pembeni akimpata winga machachari ndo inakuwa hatari zaidiRojo akipanda anajisahau sana kurudi
katika kuanalzye makosa ya timu yetu,we have to exclude referee hata kama kweli alijiangusha ila mtu akikabiwa kutoka nyuma mara nyng huwa faulo,na forward akiwa mjanja kdogo anajitegeshaSijakataa mkuu. Kila team inakuwa kwenye situation kama hyo. Cha msingi ukiangalia sasa hivi EPL marefa wanakosa umakini sana. Angalia mechi ya chelsea na man city sasa hiv
nakumbuka yote hayo mkuu,he has to grow up now,time for learning kwake ishaisha tunataka afanye kazi tunayomtuma nothing elseRafael haya makosa ni kawaida kwake kibaya zaidi huwa hajifunzi,wapinzani huwa wanamprovoke kutafuta penati au red card(Kuna game na Bayern Ribbery alimprovoke akapewa red game ikabadilika tukatolewa ,game vs Chelsea Luiz akafanya hivyo hivyo)
Ukitaka kupata wimbo wa Daz Baba wa NIPE 5 kama muito wa simu yako. Tuma neno LESTERCITY Kwenda 15321.
C.C. Mndengereko.
Weye ndio unaona si kweli. Wao wamefunga goli nne bila majibu baada ya kuongoza kwa 3-1 pamoja na majina makubwa sana katika safu yenu ya mashambulizi mlishindwa kuongeza magoli na wao wasiokuwa na majina makubwa kwenye safu ya mashambulizi wakawachapa 4-0. It is total failure for the whole team.
![]()
Who's the next manager .... .. .
Safu ya ushambulizi imefanya kaz yake vyema kwa kutengeneza goli tatu na attempt kadhaa zilizokuwa za hatari,ila morali yao ilishushwa na wazembe wachache ,so mimi siwez kuwalaumu!!
Zimefika mkuu. Matokeo ya jana niaje mkuu??