Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mark Clattenburg: In his last 6 PL games refereeing Man Utd has sent off 3 Man Utd players and given 5 penalties against.

FA wasipofanya kitu kwa huyu refa itakuwa blunder kubwa sana. Marefa kama hawa si wakuwapa mechi zenye stree kubwa. Wakachezeshe league 2
 
Timu iliyopangwa haikuwa nzuri. Sampling na Bracket hawakupaswa kucheza. Shaw angelianza na JoJo angecheza katikati.

Mpk leo sijui kwa nini van gaal hataki kufanya hcho,shaw yuko benchi bila ya sababu wakati ana uwezo wa kutusaidia sijui tulimnunulia nini? By the way rojo sio mzuri sana upande wa kushoto akipata winga anaesumbua its beta acheze cb kushoto amwachie shaw!
 
DonDonald naona heshima inazidi kurudi hahahahaha.... Nzi, Belo,Bulldog,RRONDO last weekend niliwaambia mlipofuliwa na ushindi wa goli 4 dhidi ya timu mbovu QPR mkasahau jinsi gani beki yenu ilivyokuwa mbovu, leo mmethibitisha. Anyway, hampo tofauti sana na mid-table wengine kina QPR, Bunley, Southampton etc. Arsenal tulivyotoka na draw dhidi ya Leicester City mlitucheka saaaaaana. Loser!!!
Timu inaimprove huko nyuma hata kufunga magoli ilikuwa ni shida now tatizo limebaki kwenye defence na mabeki Evans,Jones,Smalling wanaumia kila siku.Kabla ya hii game defence yetu ilikuwa imefungwa goli 3 tu.So far only Man City ndio defence yake imetulia Arsenal kafungwa goli 6,Chelsea 6,Everton 10,Liverpool 8 almost timu kubwa zote beki zao mbovu ile game yenu na Dortmund ilikuwa ya kufungwa goli 6
 
Hakuna anayedharau timu bhanaa, Kumbuka kandanda halinogi bila wapenzi na washabiki kutaniana na kupigana vijembe. Hizi timu zote zilizopanda na kuingia EPL msimu huu wa 2014/2015 hapa jamvini zinaitwa timu za kata kwa utani tu haina maana hazistahili kuwepo EPL au siku yeyote ile haziwezi zikashinda katika mechi dhidi ya MANU, MANC, Arsenal or Chelsea.

CC: Mbu, Wacha1

Kwa nini mnapenda sana kudharau timu wakuu?

Hii ni Premiership ati ambapo timu ya mwisho inaweza kuifunga iliyo juu.

Acheni hizo bana. Mechi kama hizi ndo zinafanya Premiership kuwa exciting.
 
Last edited by a moderator:
Mpk leo sijui kwa nini van gaal hataki kufanya hcho,shaw yuko benchi bila ya sababu wakati ana uwezo wa kutusaidia sijui tulimnunulia nini? By the way rojo sio mzuri sana upande wa kushoto akipata winga anaesumbua its beta acheze cb kushoto amwachie shaw!

Rojo akipanda anajisahau sana kurudi
 
The whole team did not perform today as per expectations.
Sio kweli only defenders tu ndo wametuangusha

Refa angekuwa makini ile sio penalt.
hata kama wachezaji wetu walishndwa kuhml presha ya mchezo baada ya leicester kufufuka,kitu ambacho ni makosa kwa timu kubwa kama man u,
Na badoo, tulia Dawa iwaingie japo Chungu lakini inatibu so inabidi Mvumilie tu.
experience is the best teacher,acha kuchonga sana!
 
Sio kweli only defenders tu ndo wametuangusha

hata kama wachezaji wetu walishndwa kuhml presha ya mchezo baada ya leicester kufufuka,kitu ambacho ni makosa kwa timu kubwa kama man u,

experience is the best teacher,acha kuchonga sana!

Sijakataa mkuu. Kila team inakuwa kwenye situation kama hyo. Cha msingi ukiangalia sasa hivi EPL marefa wanakosa umakini sana. Angalia mechi ya chelsea na man city sasa hiv
 
Yaani nashndwa hata kumuelezea kanitia hasira sana,anakaba kama vile hana experience,from behind kategeshewa matokeo yake kaenda kutoa penalty

Rafael haya makosa ni kawaida kwake kibaya zaidi huwa hajifunzi,wapinzani huwa wanamprovoke kutafuta penati au red card(Kuna game na Bayern Ribbery alimprovoke akapewa red game ikabadilika tukatolewa ,game vs Chelsea Luiz akafanya hivyo hivyo)
 
FA wasipofanya kitu kwa huyu refa itakuwa blunder kubwa sana. Marefa kama hawa si wakuwapa mechi zenye stree kubwa. Wakachezeshe league 2

Kabisa tena kama na record zenyewe zipo wazi hivi something should be done
 
Na wachezaji wameshaona hiyo weakness wanajiangusha tu.

Hakuna jinsi tugange yajayo hili tumeharibu tuwasubiri West Ham Utd Jumamosi naimani hatutajisahau katika kudefend na asiwepo refa wa kutuharibia mchezo kama huyu wa leo...
 
Kweli..dogo atakuwa poa sana akiwa na CB mzoefu na world class kama Hummels.

Ila leo pamoja na udhaifu wa beki, refa kaua game..Rafael alifanyiwa foul kabla ya lijamaa kujiangusha na refa kutenga tuta..hata red card ya Blackett ilikuwa ya maajabu!!

Anyway, project bado inaendelea, LvG ataiweka timu sawa tu..

Jamaa alijiangusha???

Are you serious??

Just stick na fact kuwa Rafa alichezewa foul kabla!!

Coz nae alicheza a clear foul!!
 
Hakuna jinsi tugange yajayo hili tumeharibu tuwasubiri West Ham Utd Jumamosi naimani hatutajisahau katika kudefend na asiwepo refa wa kutuharibia mchezo kama huyu wa leo...

Hakuna team ndogo epl. Tuwe makini sana
 
Back
Top Bottom