MANCHESTER UNITED WAIJIA JUU FA
na mwandishi wetu
MO11
carington Manchester
Klabu ya Manchester united wamefikisha malalamiko yao juu ya bodi ya shirikisho la soka la uingereza kwa kupuuza madai yao ya kuomba kucheza msimu mzima uliobaki na timu ya Queen park rangers.
Malalamiko hayo yenye namba 5-3/leiMan ambayo yalifikishwa mara ya kwanza tarehe 21-9-2014 ambayo yalitupiliwa mbali na shirikisho hilo.
Malalamiko hayo ni mara ya pili mfululizo kwa siku mbili yamekuja baada ya kichapo cha paka mwizi kilichotokea uwanja wa leicester city. Licha ya man u kuongoza magoli 3-1 mpaka dakika ya 57 mambo yaligeuka na kupokea kichapo hicho.
pia kuna tetesi pia wameomba magoli aliyoshinda chicharito akiwa na Madrid yaongezewe japo wapate suluhu ya magoli 5-5.
statistic
match 5
point 5
jana wamefungwa goli 5
Tukutane tena kesho
Adios