BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Nipo Mkuu naflip channels huku na kule, naangalia pia mchapo wa Tottenham na WBA ila sana niko hapa kule bado ni 0-0
Goal la Leicester City Ingekuwa ni Man Utd ndo kafunga lingekuwa ndo habari muhimu umu javini
Nipo Mkuu naflip channels huku na kule, naangalia pia mchapo wa Tottenham na WBA ila sana niko hapa kule bado ni 0-0
Kwan maria na van persie wamefunga magoli ya aina gan??
Nafikiri jamaa anaongelea suala la mpira kuwa nje kabla krosi ya goli haijapigwa. Ingekuwa United imefunga baada ya mpira kuwa nje #WakaangaSumu wangemwaga shombo humu balaa...
Jana nimesahau kukupongeza. Hongers aisee. Machungu ya Dortmund mliyamalizia jana. Ila UCL ndo kwaheri
Hawa tanesco wanataka niwape rushwa nin!!! ona wamekata umeme!!! daaaahh!!
Shukrani Mkuu ushindi wa jana ulikuwa mnono sana. Khe Khe Khe Khe dua la Bulldog kamwe halimpati binadamu utaona tunaendelea kutesa tu na nyie #wasagasumu na #mburukenge kuendelea kununa.
Tafuta bar ya karibu umalizie uhondo kaka.