Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Leo umeanza alfajiri,siku hizi hadithi zako sizioniukitaka kupata MUITO wa NIPE TANO wa DAZ NUNDAZ andika LEICESTER CITY na tuma kwenda 15678 ofa hii ni bure mpaka weekend ijayo.
Cc: Mndengereko
Leo umeanza alfajiri,siku hizi hadithi zako sizioniukitaka kupata MUITO wa NIPE TANO wa DAZ NUNDAZ andika LEICESTER CITY na tuma kwenda 15678 ofa hii ni bure mpaka weekend ijayo.
Cc: Mndengereko
Leo umeanza alfajiri,siku hizi hadithi zako sizioni
Niko safarini mkuu bize sana.....will be back though!
Turudi kwenye mada..."Juma alipewa machungwa matano halafu akamgawia dada yake Lusi machungwa matatu. Juma alibaki na machungwa mangapi?"
Dogo acha uchokozi.
:wacko::wacko::embarrassed::embarrassed::hail::hail:Babu we nawe si umefungwa juzi wewe..Liverfool!!! Hahahahahahahahahahahahahahh
Arsenal ni wachovu hata kama walidraw na Leicester,ngoja tukikutana ndio utajua kuwa Arsenal ni vibonde kwa Man United
Timu imenepa kifuani tu kiuno kama nyingu, siju zote tatzo la Man u ni beki na DM, Mtu wa kaliba ya Matic, Alobso, Wakuvuruga pale kati
Twendeni tukaandamane wakuu,lazima katiba iweke wazi kwamba"FERGUSON MUST BACK"
Poleni wana Manchester United wenzangu. Kiukweli jana haikuwa siku nzuri hata kidogo kwangu na mpaka sasa bado nahisi maumivu kila nikikumbuka.
Lakini ili chuma kikomae na kiwe bora lazima kichomwe sana, hivyo tukaze moyo katika kipindi hiki cha mpito.
FOREVER UNITED.
N.B; Post hii ni kwa Red Devils tu washankunaku piteni mbali.

Mark Clattenburg: In his last 6 PL games refereeing Man Utd has sent off 3 Man Utd players and given 5 penalties against.
Changes has costs. Tuvumilie mkuu
Niko safarini mkuu bize sana.....will be back though!
Turudi kwenye mada..."Juma alipewa machungwa matano halafu akamgawia dada yake Lusi machungwa matatu. Juma alibaki na machungwa mangapi?"
ipo siku hata bakhresa atayumba kiuchumi halafu wajinga wataanza kumcheka wasijue dakika 0 anarudi kwenye njia