Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pia inabidi ikumbukwe kuwa Man Utd imeingia mkabata wa £750m na Adidas kwa miaka kumi. Hii ni sawa na £75m kwa mwaka.

Lakini kuna condition moja kwenye mkataba inasema kutakuwa na reduction ya asilimia 30 sawa na karibia £20m kama watashindwa ku-qualify for the Champions League kwa misimu miwili kuanzia msimu wa 2015/16.Terms za huu mkataba zinamwongezea presha LVG.

Pia akina Glazer wanataka ku-raise £80m kwa kuuza shares na bei itakuwa nzuri kama Man Utd itakuwa inafanya vizuri on the pitch.

Pamoja na hayo ni biashara kubwa sana team ikiwa inashiriki UCL. Hapo directors wa United wanaona kitu kinachomiss
 
Kama ulijua.Hucheza japo kamari maana ulipatia

hahahahaha ............ mbona nimeweka mzigo w kutosha!" nawasubiria mabingwa wa msimu huu chelsea wafanye yao j3 nikachukue mipesa. Man7 wakicheza hata na Ashanti usiogope kuwaka pesa kw Ashanti.

Grand PA
 
Wachezaji mizigo wengi...LvG akifanya mzaha wa kuchekacheka na Woodward, hakika ataharibu CV yake na aina ya wachezaji waliopo...

Watu waliniponda kumtetea DM mwaka jana...ila pengine sasa nyuso zimewashuka...nilisema kwamba hata SAF atastruggle na wachezaji waliopo..

Almost nusu ya kikosi kiuzwe waje wapya. Tutaumbuka soon
 
Mkuu emu na mie nichekie ligi table timu ilypo mkiani fasta fasta halafu uibandke hapa wadau wote tufahamu teteteteteteh!

ImageUploadedByJamiiForums1408217329.800847.jpg

Bandiko hilo hapo nimelibandika sasa sijui WHU wanahusiana vipi na hili jukwaa au ulihisi itakuwa ni hao nimewazungushia 'red'??

#pole
 
article-2726549-20914CD800000578-624_964x386.jpg



Same old story .... ... .... . 7 up . .. ..


1408196921827_Image_galleryImage_epa04356355_Swansea_City_.JPG


Nzi, Belo et al mmeiona hii? Yule Ngongo kesha hama timu
Khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


1408198760147_Image_galleryImage_Manchester_United_v_Swans.JPG


Mob rule .. ... ......

1408198780493_wps_93_Manchester_United_v_Swans.jpg


Yarabi toba! Hivi niliingiaje kwenye mkenge kama huu?


1408195376390_wps_70_AD14317676116_Aug_2014_MA.jpg


Judas Iskariot alikuwepo, baada ya mechi alikuwa anamsaka Prof .... .
thubutu! amuulize
Cesc ... .... .
 
1408196842669_wps_87_Manchester_United_v_Swans.jpg


Kaboom!


1408193057913_wps_47_Manchester_United_v_Swans.jpg


Ushahidi huu hapa ... .. . can't look ... ..


1408194122484_Image_galleryImage_MANCHESTER_ENGLAND_AUGUST.JPG



1408192421345_wps_36_Manchester_United_v_Swans.jpg



1408191912104_Image_galleryImage_MANCHESTER_ENGLAND_AUGUST.JPG



1408192061416_wps_33_Swansea_City_s_Ki_Sung_yu.jpg


come down .... .. ..


1408196448131_wps_85_Manchester_United_v_Swans.jpg


Poleni wakuu nachikia mliwafunga sana wale Marekani kwenye pre-season .. ..
komaeni nao sasa maana wanaweza kuchukua namba yenu ya 7 up!
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom