Hii timu imeanza kushindwa mapema mnoooo
tunachukua msimu huu .......... karibu j3 kwa mkopo uone tunavyomsulubu barnley!"
Grand PA
Vituko vya VAN GAAL
Huna kiungo mzuiaji, una mabeki uchochoro. Umeuza vidiki na evra kwa sababu zisizoeleweka. Afu unakuja kumteua Runinga kuwa kepteni. Ndo mana Swansea wamewafanyia kitu kibaya jana.
Timu za maana zote nahodha anakuwa beki au kipa. Wakishindwa sana wanampa 'kisheti'. Hawa watu muda wote wanakuwa wanaona jinsi jabulani linavopigwa mbele so anaeza kupanga vijana wake wakae mkao wa kukaba. Asa huyu mzee Van Gaal aka Van Ugali anamteua vipi fowadi kuwa nahodha wakati timu ina majanga ya ulinzi na kiungo? R.I.P MANYUUU
Hivi kumbe walifungwa?
Hizi pumba huwa mnazitoa wapi ,kama hujui ni bora ukae kimya.Vidic hajauzwa,aliamua kuondoka mwenyewe baada ya mkataba wake kuisha na alitangaza hilo msimu uliopita wakati kocha alikuwa Moyes.Kwa hiyo Captain angekuwa De Gea au Evans ndio timu isingefungwa? Unakumbuka timu yako ya Arsenane Henry na RVP (Foward) walikuwa makapteni