Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

BvKeEHFIAAAGUyW.jpg:large
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Nzi nimeangalia mechi yote ni kweli Van Gal anatakiwa kusajili wachezaji wa kiwango cha juu kabisa kwanza defence ni kichekesho,pili kiungo ni lazima tatu mfumo wake wa 3 4 1 2 sidhani kama utaleta matunda yanayokusudiwa.

Kwanza lazima LVG asajili defender wa kiwango cha kimataifa (experience) CB leo nimeona defence ikicheza hovyo utadhani wapo mashindano ya umiseta.Kama atapenda kushindana na timu imara au atapenda kuingia top 4 lazima asajili mabeki wawili mmoja kati na mwingine baki 3.

Lazima asajili kiungo wa kati hili tatizo aliliacha Fergie bado mpaka leo Man haina mchezaji muhimu wa kati.

Mfumo anaotumua LVG si sahihi katika ligi ya uk.

Chifu, nilimsikia LvG akisema kuwa anatumia mfumo huo kwa sababu hana wachezaji katika nafasi zinazopwaya, hivyo imemlazimu kutumia mfumo huo..
 
Last edited by a moderator:
Top of the EPL table for few hours only.

Leo yatapigwa majungu mengi mno humu ndani...!! Waacheni Swansea nao waandike historia sio tuu ya kutufunga opening match ila ya kuwa top of the league...

#WMUTW
 
Mkuu Nzi ni sawa kabisa pamoja na kufungwa kuna vitu vichahe vimebadilika ila lazima asajili wachezaji wa 3 kama atataka kuingia top 4.

Chifu, nilimsikia LvG akisema kuwa anatumia mfumo huo kwa sababu hana wachezaji katika nafasi zinazopwaya, hivyo imemlazimu kutumia mfumo huo..
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mkuu EMT hebu acha hizo banaaa!!!! Mapicha yako yananivunja mbavu lol!! Hahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Wewe EMT hueleweki kama moto ama baridi...ebu jifafanue ili ujulikane.
 
Last edited by a moderator:
Dah!!!! 42 years record was broken today.....It was also the first time that United had lost at home on the opening day of the season since 1972 when they were beaten 3-2 by Ipswich.
 
Back
Top Bottom