Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
FT
Man Utd 1-2 Swansea City
Refa kawabeba hambebeki....Dk 97
Man Utd 1-2 Swansea City
Refa kawabeba hambebeki....Dk 97
Mtamkumbuka sana Daudi Moyes...
FT
Man Utd 1-2 Swansea City
Refa kawabeba hambebeki....Dk 97
Hawabebeki mnafikiri Pre Season Eh! Sasa anzeni ndio kwanza Game ya Kwanza tehtehteh sura zimewashuka sio Pre Season tumeona mnavyoshambulia kweli nyie wakali man speed kubwa!Scouser lazima awabebe!
Mwanzo mbaya...ila siyo ishu...bado naendelea kusisitiza timu ina average players...tatizo siyo kocha..wachezaji mizigo...ngoja LvG apitishe fagio la chuma..
#GGMU
van gaal uondoke hatukutaki
Leo tunakaa kileleni kwa kishindo
Mkuu dakika 97??
Hiyo mechi labda uliangalia nyingine
Red cross team vipi mpira wenu chaa ngapi?