Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nafikiri tunahitaji mtu wa kucommand kwenye back line..experienced one..a leader..mwenye karba ya Vidic..kama tungampata Hummels ingelikua poa sana..timu sio mbaya sana...sema kuna matatizo madogo madogo wa kiufundi nafikiri kocha kayaona...
Nani na Fellain hawafit kwenye timu yetu..mipira ya mwisho ilikua haifiki kwa Rooney..I think it's a right time to finalize Vidal's deal sasa..Januzaj anatakiwa aache utoto kwenye serious games otherwise bring in Di Maria..
#GGMU

Kwanza kabisa Rooney kuwa captain ni wrong choice.

Ukampteni wake utakuwa kama ule wa Messi na Argentina.

Man Utd wanahitaji a very top central defender.
 
Huyu kocha ni wa kufukuza aiseeee..haiwezekani mechi ya kwanza tu watu wanakojolewa hivi
 
BvKlOS-CUAEn4q1.jpg
 
Bora Tulivyopigwa ili Ed Woodward afungue pochi,kila siku tetesi tu,na game inayofuata tupigwe tena.
 
Leo yatapigwa majungu mengi mno humu ndani...!! Waacheni Swansea nao waandike historia sio tuu ya kutufunga opening match ila ya kuwa top of the league...

#WMUTW

Mkuu emu na mie nichekie ligi table timu ilypo mkiani fasta fasta halafu uibandke hapa wadau wote tufahamu teteteteteteh!
 
Referee aliwabeba mgongoni lakini leo hawakubebeka 🙂🙂 extra time ya extra time lol!!! Hata kusawazisha holaaa!


Well, tena kulikuwa na extra time ya extra time.

BvKf_qcCQAA_iZy.jpg
 
New season
New Manager
New Captain
But same results!!

Similarity between Man U and Ebola: Both do not have a CURE!
 
Jamani naomba mtu ampage @ DonDonald,asije kuwa kapotelea Preseason city
 
Mkuu EMT tuseme ligi iishe leo man u atacheza daraja la kwanza mwakani si ndio?
 
Last edited by a moderator:
After the match, FIFA was updated to add LVG's apparent patchy tactics.
 
In his post-match press conference, Van Gaal calls for calm: "It is very disappointing... but it is only one game."
 
Back
Top Bottom