Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeadimika sana Manda usije kupotea kama Icadon

Van Gaal ni kocha ni kocha mkali sana waliofanya nae kazi wanalijua hilo sidhani kama anaweza kukubali kununuliwa wachezaji asiowataka.Moyes alishindwa kuhandle wachezaji wakubwa wengi walicheza chini ya kiwango,Van Gaal alishakutana na Giggs na Woodward nafikiri alishapendekeza wachezaji anaowataka.Cha msingi ni wachezaji chipukizi

Na sisi tutengeneze class of 2014
 
dogo karibu manchester united...tunategemea utadumu kama akina RIO FERDINAND na GIGGS!

luke-shaw-manchester-united-football_3164583.jpg

Reasonable age, atakaa hata misimu mingine 15
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hivi hii timu bado inawashabiki ... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wameishia uropa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Channel 5 Alihamisi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
siyo mbaya, ukikubaliana na ukweli kuwa, u've signed mchezaji wa kiwango cha kati..

Always, mashabiki wanakuwa na expectations nyingi kuliko club yenyewe..

So sometimes, itabidi ukubaliane tu, na Hali halisi, coz club ndo inaamua kila kitu..ukinambia Lambert na Can ni average players, sitokupinga, coz ni UKWELI.

Asa ninavyokwambia wewe, kuwa Hererra ni average player, unaona kama ni HATER, wakat huo ndo UKWELI..

#smh
what matters sio averaage player au worrld class palyer what matters timu ilikuwa inamuhityaji ama la kutokana na mapungufu ya timu husika hii hapa article nzuri sana inaelezea kwa nini herrera ni jembe kuliko world class player fabregas The Dossier: Why Herrera makes more sense than Fabregas for Manchester United - Goal.com
 
tatizo c kocha ila mfumo mzima wa soka la england as national team haupo.england imejaa wageni kuliko ger,soka lipowapi?
 
tim yeyot inapokuwa kwny pre season huwa inateseka sana.manU ilchkua cups mara 3 mfululizo.ndo maana wanafurah.ss ni LVG
 
Sir Alex Ferguson anajua kugundua wachezaji wenye talent zaidi ya makocha wengi duniani. soma hii habari uone jinsi SAF alivyobobea katika kuspot talents maybe zaidi ya Wenger. Badala ya kumsaini James Rodríguez, Sir Alex alikimbilia kumsaini striker mkali Bebe.

Cc DonDonald, Belo
 
Back
Top Bottom