Amesaini mkataba wa miaka minne, huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mkataba mwengine pindi unapoisha au unapokaribia kuisha.. Karibu jembe!!
MosDef dogo anaeitwa ANDERS HERRERA ashatua OLD TRAFFORD sema jingine...!
ndio hivyo mkuu...usajili sasa hivi ni kimya kimya....ukiongea tu city na chelsea wanavuruga....naamini bado kuna vifaa vinakuja nahisi Kroos atakuja.
kanunua mkataba wake ili kuforce move!
wachezaji wa kawaida ndo wanavyofanya hivyo wakitakiwa na team ambazo walikuwa wanaona ni ndoto (isiyokuja kukamilika) kuichezea, kutokana na uwezo wao mdogo walionao uwanjani!.
Nilishasemega hapa!!..hamuwezi kutarget world class players kwa sasa!!!
Mnaishia kujaza wachezaji kibao, wenye uwezo wa kawaida!!!
Ander hererra, mata, kagawa, rooney. #DreamTeam .

Usajili wa Hererra hamjaufanya kimya kimya Mr. RRONDO..
mlirenew interest baada ya targerts zenu zote kuota mbawaaa..nadhani me na wewe tunalijua hiloo!!!
Profesa WENGER alishawahi kuwa quoted akisema;
"The best players, they do not ask "did you win the league cup??" they ask you "do you play in the champions league??"
Asa we ndugu yangu RRONDO upo UCL??
Endelea kukimbizana na kina Herrera hao!!..ndo level zako sahiv!..HUNA JINSI..hahah!
Manure bhana..mna hali ngumu sana sahiv.
Belo asikupotezee muda huyu mtu hajitambui....kabla nilipost Bilbao wamekataa kuuza,akaja ni hii kuwa HERRERA hawezi kuja united tusubiri waholanzi!!! sasa hivi anaweweseka ooh sio world class player,huyu sio mtu wa mpira ni mbabaishaji tu kila kitu cha united sio kizuri kwake,he is just a hater.HAHAHAHAHAHAHAHAHA
Manure subirini babu yenu mpya aje na watu wake wa Uholanz pale OldTrashford!!!!
Total football ndo itakubali vizuri saaaana!!!hawa kina Ander Herrera hawaiwezi!!!
Nilishasema hapa..Kila mtakopoenda sahiv mtapigwa saaaaana HELA!
JUAN MATA atamsaidia ku-settle........jirani zao akina DAVID SILVA,ALVARO NEGREDO wote hao wanaishi Cheshire
Belo asikupotezee muda huyu mtu hajitambui....kabla nilipost Bilbao wamekataa kuuza,akaja ni hii kuwa HERRERA hawezi kuja united tusubiri waholanzi!!! sasa hivi anaweweseka ooh sio world class player,huyu sio mtu wa mpira ni mbabaishaji tu kila kitu cha united sio kizuri kwake,he is just a hater.
nafikiri ni busara kuku-ignore kwa sababu ni wazi wewe sio mtu wa mpira ni HATER.
So kina Lambert ndio world class player?
Football ni teamwork sport sio lazima uwe na world class players ndio ufanikiwe Atletico,Dortmund hawakuwa na hao class players still wamepata mafanikio.
Belo asikupotezee muda huyu mtu hajitambui....kabla nilipost Bilbao wamekataa kuuza,akaja ni hii kuwa HERRERA hawezi kuja united tusubiri waholanzi!!! sasa hivi anaweweseka ooh sio world class player,huyu sio mtu wa mpira ni mbabaishaji tu kila kitu cha united sio kizuri kwake,he is just a hater.
Kombe la dunia liishe fasta turudishe heshima, natumaini msimu huu nitakuwa na hamu ya kuangalia mpira:wacko:
Unaweza ukaonyesha nilipopinga football sio teamwork,nilikwambia hata SAF alipata mafanikio na wachezaji wengi walionekana average players kina Irwin,Nevilles,Brown,Oshea,Butt,Wellbeck,Young,ParkSo leo, ndo unakubaliana na mimi kuwa football ni team work??
kuna siku tulilidiscuss sana hili suala hapa, wewe na Mndengereko mlibisha sana!!
tena nakumbuka, ishu ilianzia kwa luke shaw kama sikosei!!!
Leo unakubali kuwa football ni teamwork!!!!