Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Kagawa ndo kama anasepa hivi
Hamna lazima kuwe na reserve team...not just the 11.
Kagawa ndo kama anasepa hivi
Hii ndio "planned" line up ya VAN GAAL!!!
![]()
Duh Waingereza watakubali timu yao iwe na wachezaji watatu tu katika kikosi cha kwanza wapi Wellback, Clavery na Jones
Hii ndio "planned" line up ya VAN GAAL!!!
![]()
Hamna lazima kuwe na reserve team...not just the 11.
Kumbuka chicha na kagawa msimu ulopita walisema wanahitaji muda zaidi kwenye kikosi cha kwanza.
Bila shaka walitegemea kuwa first priorities
Hii ndio "planned" line up ya VAN GAAL!!!
![]()
Nimeipenda hii zaidi, nawish itokee
![]()
Umpate Di Maria? Sidhani kama itakuwa rahisi ila ni mchezaji mkali ambaye wengi tulikuwa hatujamjua vizuri.
Tiba
GM will recall the jerseys after few defeats like they recall the cars. Mkifungwa mechi kadhaa muwapeleke GM mahakamani kama wateja wa magari yao wanavyofanya Marekani. Ebana naona NIKE wanataka kuwakimbia, kuna uwezekano FUBU watapata deal la kuwatengenezea uzi baada ya NIKE.
Soccer-Nike to end kit supply deal with Man Utd - source | Reuters