Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Msijali lakini, mmepunguza mechi za kucheza msimu huu hivyo mtakuwa fit sana kwenye Premier League.
What a Cupset!!
Najua unachekelea maana ili uwa ni kombe lenu lol!!
Msijali lakini, mmepunguza mechi za kucheza msimu huu hivyo mtakuwa fit sana kwenye Premier League.
What a Cupset!!
Mimi nachekelea niliweka $12, Leeds kuifunga Manure kwa sasa ninakula cha juu.
GARY NEVILLE is set to retire from football at the end of this season.
The Manchester United hero is out of contract in June and there are no plans to offer a new one.
Right-back Neville, 34, has been hit by a series of injuries over the last two years. Fellow United veterans Paul Scholes and Ryan Giggs have new one-year deals.
Ex-England star Neville has played 583 first-team games so far in a superb 18-year career at Old Trafford.
Wakishinda utaanza kuwaona akina Belo wanakuja kwa mbwembwe na vishindoHili jamvi wenyewe walishalitekeleza siku nyingi, so far nadhani mtaa wa 7 mambo sio mazuri, naona wametafuta entertainment nyingine, lakini huwa wanaonekana kule kwenye jamvi letu, sijui kulikoni hapa.
Naona mumeanza kupata nafuu sasa, kwa goli la kilalamishitupo pub washindani siyo kwamba tumekimbia uwanja wetu, tupo.
mmmh! mko Pub toka Leeds ifanye mambo?!tupo pub washindani siyo kwamba tumekimbia uwanja wetu, tupo.
Duh, kumbe tunacheza leo...hao Birmingham wabisha sana tukitoa nao draw poa.