Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ROOSPLASH_964378a.jpg

Mwaka huu mtashikika tu. Je mnaweza kubadili kichwa cha habari?

Mi huwa napenda Kuiita "Man U without Ronaldo"

Mtu anayebisha arudie kucheki game za Man U hasa combination ya Rooney, Ronaldo na Teves wakivuka msitari wa nusu uwanja wakiwa wanapiga break.....

sasa kabakia Rooney peke yake, anatika huruma hasa game ya Leeds dogo alitaka kutoa chozi....
 
According to the Daily Star, Barcelona are ready to offer Wayne Rooney £8million a year after tax in an attempt to persuade the striker to leave Manchester United.

Atawakimbia kwa offer kama hiyo......
 
Kwani sasa after tax anabaki na ngapi?
 
Back
Top Bottom