Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna kutoa sababu zozote nafikiri Arsenal ndo wenye majeruhi kuliko timu yoyote kwenye hii league,lakini wanakipiga kama kawa, mmezidiwa msianze kutoa sababu za ajabu ajabu.
 
Mzee nyele zitaisha hizo, eboo!!

Sir-Alex-Ferguson-Manchester-United-Premier-L_2398862.jpg
 
hawa man united siku hizi wana-bore kichizi..., VETA wanakuja kwa kasi! noma kweli kweli!
 
SAF kachemsha ... beki yake haikuwa makini, anaweza kuwa na excuse ya majeruhi. Maana hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba beki alikuwa mmoja tu (Fabio).
Fergie hakuchemka bali beki zote Nevile,Oshea,Brown,Rafael,Rio,Vidic ni majeruhi

Pia kiungo kilipwaya sana, kiasi kwamba hakukuwa na coordination kati ya safu ya ulinzi na safu ya mashambulizi. Sijui Anderson alikuwa ni kiungo ama beki, Scholes ambaye alisababisha goli la kwanza alipwaya sana.
Viungo ndio walichemsha sana Anderson,Scholes wote walichemsha

De Laet alizidiwa sana na hakuwa na ujanja, angalau Fabio Da Silva alipoingia kukawa na nafuu.

Kama hali ya majeruhi itaendelea kuwa kama ilivyo sasa, kuna haja ya
kumshauri SAF atumie window ya January kupata beki mmoja ama wawili, vinginevyo hali inaweza kuwa mbaya sana.
Fomesheni ilikuwa hata haieleweki sikuona umuhimu wa Owen kucheza fomesheni ilikuwa haimfai kabisa

Inabidi tupate beki wa kuzugia January
 
Ubingwa tumeshauweka rehani yaani game 18 tumefungwa 5, hao Chelsea &Arsenal wakishindwa kuchukua ubingwa kama Liverpool last season watakuwa wazembe
 
Ubingwa tumeshauweka rehani yaani game 18 tumefungwa 5, hao Chelsea &Arsenal wakishindwa kuchukua ubingwa kama Liverpool last season watakuwa wazembe

...Lol!
Belo, ndio kwanza duru la kwanza wewe tayaaaaari presha juu, vipi wewe? Eqlypz upo? Chelsea 'Best by Date' yao inaelekea ukingoni, few more months to come mtaona matokeo...

Hughes nje, Benitez naye mnh,.. Ancelotti ana warm bench la Guus Hidddink tu. Vigogo wa EPL wataendelea kubakia Sir Alex Ferguson na Arsene Wenger tu.
 
nadhani ile ya jana ilikuwa play back hahahahaha mmetandiiikwa subirini bado!!!!!!
 
...Lol!
Belo, ndio kwanza duru la kwanza wewe tayaaaaari presha juu, vipi wewe? Eqlypz upo? Chelsea 'Best by Date' yao inaelekea ukingoni, few more months to come mtaona matokeo...
Mkubwa kwa muda wa miaka 4 iliyopita defence yetu haijawahi kuwa mbovu kama sasa ukijumlisha na majeruhi.Labda Fergie aingie sokoni January
 
Kababu McCarthy kumbe kalikuwa sahihi kwenye mechi na ManU. Wamewakandika wababe wa Arsenal, Burnley 2-0 !.
 
Ubingwa tumeshauweka rehani yaani game 18 tumefungwa 5, hao Chelsea &Arsenal wakishindwa kuchukua ubingwa kama Liverpool last season watakuwa wazembe

Mkuu ingekua wengine hawajafungwa ingekua ishu kubwa, lakini angalia wenzetu nao walivyofungwa Chelsea 3, Arsenal 4, Aston Villa 3.
Ubingwa mwaka huu nadhani unaweza kuamuliwa na timu ambayo haijafikisha pointi 80....let just wait n see.
 
Kila nikikumbuka kipigo cha 'mbwa mwizi' cha juzi....kila nikikumbuka defense woes our team is facing recently...kila nikumbuka mechi na watani wetu wa Msimbazi Alhamis..preshaaa preshaaa, naona kuna kila dalili ya 'kuila' X mas nikiwa na drip......Natamaani kuwa malaikaaaaa, natamani kuwa mtotoooo!

To hell with soka.!
 
Kazi kwenu watani wangu..

Man Utd striker Mame Biram Diouf given work permit

_46987127_diouf226.jpg

Ferguson is pleased with Diouf's progress

Manchester United's Senegal striker Mame Biram Diouf will be available to make his debut in January after being granted a work permit.​

The 22-year-old signed from Molde this year before returning to the Norwegian side on loan.​

Manager Sir Alex Ferguson revealed on the club's website that he has been impressed with Diouf and says he could make his debut in the New Year.​

"He's been training with us and is looking very exciting," said Ferguson.
Diouf has scored 35 goals in 74 games for Molde, who are ex-United striker Ole Gunnar Solskjaer's former club.​

The forward has made one appearance for the senior Senegal national side, and is at United's disposal next month because his country did not qualify for the 2010 Africa Cup of Nations.​

However, he will not be available for the FA Cup tie against Leeds on 3 January.​

Kila nikikumbuka kipigo cha 'mbwa mwizi' cha juzi....kila nikikumbuka defense woes our team is facing recently...kila nikumbuka mechi na watani wetu wa Msimbazi Alhamis..preshaaa preshaaa, naona kuna kila dalili ya 'kuila' X mas nikiwa na drip......Natamaani kuwa malaikaaaaa, natamani kuwa mtotoooo!

To hell with soka.!

Usikate tamaa mkuu.
 
Back
Top Bottom