Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Ila bado uwepo wake MU ni wa muhimu
Ni wa muhimu ndio, ila si wa kutuletea viburi na nyodo
Ila bado uwepo wake MU ni wa muhimu
Nzi hii Game Man U hawachezi vibaya ila kila nikitizama haijulishi nani wakubadilishwa na nani wakuingia zaidi ya Valencia.
HT...0-1 to United
keep calm ninja giggs knows itSijaipenda hii sub ya kutolewa mata nje.