Sasa naanza kupata wasiwasi how The Glazzer Family handling "Man United Managerial Issue" kwanza wameliprolong sana na limekua a media stunt, hii ina effects sana kwa mustakabari wa team, maana speculations zinapokuwa nyingi sana basi na focus ya ya team inapotea, now tunasikia wajinga wengine kwa kuwa wana haki ya kutoa maoni waishaanza kusema Rooney haziivi na Van Gaal wakati hata huo mkataba na Van Gaal bado.
Kinachokunipa wasiwasi ni kwamba may be Van Gaal he is not the first choice of the board it is Glazzer's choice, maana Van gaal is all over the medias but nobody from inside MUFC is talking about him, na iko wazi walikua kwenye great hunt ya Kloop ambaye kuna kila dalili kawatosa wakaamishia kwa Anchellot ila kwa R. Madrid kuingia final ya CL it is obvious there wont be any further talks kwahiyo Van Gaal anabaki kuwa "after thoughts"
wasiwasi wangu mwingine kama Van Gaal will be given the job (which is likely to happen) na kama inavyosemakana anataka kuja na second hand wake Patrick Kluivert(new kid in block), na bado inasemekana atamretain Ryan Gigg(class of 92 mind/pro SAFmind) na bado inasemekana ataongezeka na Roy Keane (anti-SAF mind) what a disaster...!! God forbid. Maana nachodhani na kuamini inawezatokea conflict of interest hapo kiasi ya kwamba timu ikavunjika vipande vipande.
Sa hivi hao so called Class of 92 washajiona wanauwezo wa kuchukua timu kwa kigezo kwamba wanaijua Man United kwa muda mrefu na wanapata support kutoka kwa British medias simply becouse they are British which I dont think if they are really ready.
swala la kuangalia hapa ni kwamba endepa kocha atakaepewa timu (Van Gaal) je yupo tayari kufanya kazi na watu walimsababishia predecessor wake majanga....iko wazi class of 92 had the influence ya down fall of Moyes but without remove the fact that Moyes had no clue to use the experience of class of 92 nor to use the ability of Man united players, swali la mwisho la kujiuliza je baada ya hizi sifa alizomwagiwa Giggs "the new Pep" atakubali kuwa third hand wa Van Gaal mbele ya Kluivert..?? au he will stay aside kama alivyomfanyia Moyes..!! God forbid now I dont see light at the end of the tunnel...and i am afraid may be that light I am expecting to see might be a moving train...
BUT I still belive Man United will come strong next season na kuleta changamoto tena EPL plus top 4 spot ila naanza kuhisi labda kocha wa msimu ujao hatakuwa kati ya hayo majina yanayotajwa na media sana (Van Gaaal na Anchellot) all in all msema kweli ni jumatano ijayo.
MY TAKE swala la manager mpya na benchi lake la ufundi ningefurahi likaisha mapema ili tuamishie attention yote kwenye usajili na kuboresha kikosi, hizi speculations zina corrupt mind ya wachezaji kabla ya kumpokea manager mpya vile vile zinafanya kazi izidi kuwa ngumu sana kwa new manager stakes baecome very high...
GGMU