Hii timu ina laana...giggs na moyes wote sawa tu
Dah! Haki ya Mungu hii timu inahitaji a complete overhaul..wachezaji wanacheza kama wamekula urojo bana...
Leo karibu timu nzima (ukitoa pengine kidogo Javier, Jones, Vidic na Rio) imecheza ovyo sana...
Hongera kwa S'land.... Kulaleki...see you next season...