Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eti moyes kwa miezi tisa aliyokaa united amebeba makombe mengi zaidi ya wenger aliyekaa miaka tisa arsenal.
 
Okay this is for Man Utd Fans only

Kati ya Mata na Wayne nani atafunga Hat Trick leo?

cc Haters stay away plz
 
Okay this is for Man Utd Fans only

Hapa ndio yule mpmbaf moyes ajue maana ya sub ni nini

Sawa.

Mata tena kaleta matata...4-0




Kati ya Mata na Wayne nani atafunga Hat Trick leo?

cc Haters stay away plz

Hivi nyie kweli ni crazy doggs...mnajishaulisha mapema hivyo na kuanza matusi, mnasahau kwamba wiki 2 zilizopita MOYES keshawahi kuwapatia matokeo kama hayo 4-0 dhidi ya Newcastle??
Hembu acheni matusi...MOYES mpeni credits zake manake amefanikisha kwa kiasi kikubwa...Bwa bwabawa bwaaaa!!
 
Dakika ya 80 sasa. Vijana wa giggs wana kiu sana..naona kama enzi za saf zimerudi...
 
Back
Top Bottom