Nyinyi mmekuwa watu wakubadilisha tu makocha na team iko vile vile
Poleni sana shida mnamatarajio makubwa kuliko uhalisia wa team yenuSiku hizi hata sina mzuka kutazama game za Man U...
Bora nitazame kikapu na F1...
Man UTD mmelipa Bei Gani kununua ma viungo ya boli Santos,dogo Baleba na Tielemans na mpo nafasi Ngapi Ligi na UEFA🤓Alijibu mkuu wamelipa £75 kwa ajili ya kuongeza upana wa kikosi😃
Tupo nafasi ya idadi ya magoli aliyofunga Florian Wirtz akiwa Liverpool msimu huu😃😃Man UTD mmelipa Bei Gani kununua ma viungo ya boli Santos,dogo Baleba na Tielemans na mpo nafasi Ngapi Ligi na UEFA🤓
Wapewe kombeCoventry wameshinda game nyingi kuliko nyumbu.
Poleni sana shida mnamatarajio makubwa kuliko uhalisia wa team yenu
Tukikaa vizuri hata 30😃Hivi hivi mtatoboa 20years bila bila
Usajili mlioufanya kwa sisi ambao tunajua mpira ulionesha kabisa hampo kwa ajili ya kushindana lakini cha ajabu mashabiki wenu wakawa wanajiweka kwenye kuchukua ubingwa niliandika humu siwaoni hata big 4 nikawa nashanbuliwa ile mabaya na niliwapa hadi facts kabisa kwanini siwaoni mkiingia big 4 lakini mkanipinga na mkawa wabishi Sasa hivi mafuta na maji yameanza kujitenga.Hata pasipo matarajio yeyote, timu haichezi vizuri mzee kwa miaka yote hii ya tabu...
Tena hii ya Carrick msimu huu ndio imekuwa hovyo kama ile ya Amorin...
Msimu huu watu watakuwa wanajipigia kama kuchota togwa la ngomani...
Ngoja tufukue makaburi kidogo..No matter hali itakuwaje ila kwa mpira huu alioonesha leo Carrick apewe timu.
Furaha za ushindiTukimfunga au kudroo na Arteta, basi Carrick apewe timu msimu ujao.
Mambo yalikua 🔥Carrick ball
Duh😂Bado naiona nafasi pale juu
Aisee😁Man U hii sio ile nchecheme nchecheme ya Amorin
Nilisema tunawafungia booster nilikuwa namaanisha.
Sasa tumebadilisha malengo. Ubingwa tunakazi nao
😂Hivi una jua yule kilaza wa kireno asingepewa timu , hawa goigoi asenane tungewashusha pale juu mda sana🤣🤣
Tulia dogo aseno😅
😁United itabeba ubingwa kabla ya aseno