Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Saiv angekuwa ashamchukua Anderson, tonal, Alvarez na Rodri😂😂
Sema tutafika levels za majina makubwa nahisi msimu ujao.
INEOS wanaenda Kwa steps
we can do things in the transfer market that other clubs can only dream of😃😃 what a bold line aseee enzi za mwamba kama mwamba😃😃
 
Mkuu tatizo lenu mashabiki mpo serious kuliko team yenu shida inaanzia hapo 🤣 Tieleman mmemsajili maji ya jioni, Santos alikuwa hapati namba team yetu kwanu Kawa starter na mapambio kibao, Baleba injury prone haiwezi kucheza mechi 4 mfululizo bila injury na akipata injury anakaa muda mrefu alafu mmetoa pound 65m dah! Kule mbele hamna striker wa maana striker mliomsajili kwa pesa nyingi Sesko anakaa benchi huyu ni Kocha wa pili anampiga benchi alafu mkiitwa manyumbu wanaona kama tunawanyanyapaa.
Unasemaje baada ya mechi ya pili?
 
NtYga wamiliki wa Manchester united Hawana ambition kabisa na inaonekana Ruben amorim alikua ni tishio kwao kwasababu hakutaka kukubali upuuzi wao ndio maana wakamtimua. Michael Carrick yeye ni yes man yaani ni aina ya wale puppet wasiotaka kuwapa presha wamiliki hata kidogo kila kitu yeye anaona ni sawa tu.

Ona Manchester city dakika za mwisho wametoa £125 kwa Enzo fernandes, hapa unaona kabisa wenzetu wapo serious na mafanikio ya timu. Hata ukiangalia viungo wote tuliosajili ukimtoa baleba. Tielemans na Santos hawakua chagua la kwanza kama ni kubana bajeti basi pia tungekua tushasajili angalau LB,RB na ST. Kituko ni kumuacha Crysencio Summerville kisa Marcus Rashford aisee hii kitu iliniuma sana.

Ngoja tuone mda utaongea.
Muda ukifika haya yatafanyika maana Man u kutumia hela sio shida kwao
 
Wew
Wewe jamaa yangu, unaipenda sana Chelsea mpaka sometime huna reasoning
Top four itakuwa ngumu sana msimu huu
Spurs na Liverpool watakuwa juu yenu, Spurs hawana michuano ya ulaya so Wana nafasi kubwa ya kukaa sawa kwasababu Wana kikosi kizuri kuliko chenu me nawaambia ukweli
 
Sasa mkuu Ipswich ndio team yakutambia serious?? Hapo ujakutana na Newcastle, Nottingham forest, Brighton hama Everton
Kuna wakati utafika na Kila timu itakayocheza na man utd itaonekana ni mbovu....huyo Ipswich ingekuwa amemfunga utd mngebadili lugha hapa
 
Back
Top Bottom