Sio kwamba nawachukulia poa nawaambia ukweli tatizo lenu wabishi na hamtaki kukubaliana na ukweli.Man u ina sehemu nyingi zenye weakness yaani mpaka Leo mnamtegemea Maguire ambaye kwenye top 6 hawezi kuanza, hamna mbadala wa Luke Shaw, kwenye middle pale angalau mino ila wengine ni average Tieleman mmempaka maji ya jioni,Santos kwetu alikuwa namba Hana ila kwenu ana uhakika wa namba, Baleba mzuri ila injury prone, Wachezaji wenu wawili ndio Nina weza kusema Wana ubora ni Bruno na Mbeumo, Striker wa maana huna alafu unataka ushindane na Chelsea ambaye yule Estevao ni fundi haswa akija team yenu anaingia moja kwa moja kwenye kikosi lakini kwenu ni sub ni kwasababu ya Quality ambayo tunayo, Arsenal huiwezi, Man City huiwezi, Spurs nishakuambia same to Liverpool hiyo ndoto ya kuingia top 4 inatoka wapi?
Bagabeach unakumbuka kauli yangu hii