Dirisha limebakisha masaa tu lifungwe hatuna hata Tetesi ya kusajiri Beki ya kushoto wala striker pale mbele wakati huo Ostazi Benzema hana Timu kwa sasa kwanini asitue hapo OT aje aongeze Leadership kwenye kikosi madogo wanajisahau sana en we still have a Long way to GO mpaka sasa tuko WarmUp tu na kama tutamaliza hivi hili Dirisha we are Doomed 72% na tutabugia sana Fundo za Konyagi kupoza Kichwa 🤕🙁.
Bagabeach Lighton King faisal Scars Numbisa Selikavu min -me
Mlisikiliza na Press ya Kocha enu anadai Lilikuwa ni dirisha zuri sana matumizi ya Pesa yamezingatiwa, wachezaji wapya wamemwagwa akajazia Pia Marcus Rashford ukimwangalia kwa Jicho jingine ni kama sajiri mpya tu 😄😀 yana Makame huyu huyu kaenda kwa mkopo arudi mpya ilikuwa kidogo tu nimchukue kutoka kwenye TV mpuuzi huyu.