Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 2,090
- 3,520
Bado leo carrick amefeli tileman na mainoo wote ni box-box midfielders! Timu imekosa mtu wa kukontroo mechi. Santos ilibidi acheze na mainoo.Man wanapata tabu sana kwa Timu zilizopanda daraja ngoja waje wakutane na wakurungwa kwa jinsi wanavyocheza watakimbizwa mno..