Manchester United (Red Devils) | Special Thread

🤣🤣🤣 Hakuna rangi tutaacha kuona, kweli Manjesta inachekesha kama sio timu yako.
Hakuna kitu inanaiuma na imenikosesha kabisa hamu ya Mpira kama Arsenyau kubeba kombe kwa dhulma, yaani timu haipati points 3 mpaka wapate mipira ya kona halafu wamsongesonge kipa ndio wapate goli.
Arsenyau mmeinajisi Epl kiasi kwamba imepoteza mpaka mvuto.
Mbuzi katoliki nyie.
Na mwaka huu tunabeba ubingwa kwa penetration pass...
 
🤣🤣🤣 Hakuna rangi tutaacha kuona, kweli Manjesta inachekesha kama sio timu yako.
Hakuna kitu inanaiuma na imenikosesha kabisa hamu ya Mpira kama Arsenyau kubeba kombe kwa dhulma, yaani timu haipati points 3 mpaka wapate mipira ya kona halafu wamsongesonge kipa ndio wapate goli.
Arsenyau mmeinajisi Epl kiasi kwamba imepoteza mpaka mvuto.
Mbuzi katoliki nyie.
Ulipotelea wapi wewe jamaa
 
Mpaka sasa ukimtoa Lewis hall unaona ni beki gani wa kushoto anaefaa kuja united
Lewis hall ni uhakika ila newcastle hawawezi kumuachia kwa price ya kitumbua, itakuwa 80+ pesa ambayo united wataichungulia sana.

Usajili wa lewis ni kama ule wa shaw kipindi yupo soton, he was young and talented na price yake kwa young LB ilishangaza kwa kipindi kile, mpaka morinho alitema mbovu sana, kipindi glazer wanatoa ile pesa, shida ilikuja ni injury tu.

Je Ineos watatoa 80+ kwa hall?
 
INEOS wakisajili mchezaji ambae atakuwa starter hela huwa wanatoa na naona wako smart, japo hawawezi kuwa kama ninavyotaka
 
Lewis hall ni uhakika ila newcastle hawawezi kumuachia kwa price ya kitumbua, itakuwa 80+ pesa ambayo united wataichungulia sana.

Usajili wa lewis ni kama ule wa shaw kipindi yupo soton, he was young and talented na price yake kwa young LB ilishangaza kwa kipindi kile, mpaka morinho alitema mbovu sana, kipindi glazer wanatoa ile pesa, shida ilikuja ni injury tu.

Je Ineos watatoa 80+ kwa hall?
Hawawezi kuitoa hiyo hela kwasababu walifanya uzembe kwa kushindwa kumchukua mapema hall Newcastle kabla Gordon,Guimares na Tonali hawajaondoka Newcastle.
 
Kosi la kutajika la tajiri mkubwa bwenyeye Sir Jim wanashuka leo

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

My prediction

Manchester united 3 Vs Ipswich town 1

Watapigwa sana wale

Pigaaaa
Uaaaaaa
Chinjaaaa
fyekaaaa
malizaaaa
1788102977015.jpg
 
Wachezaji wenu wanacheza kama vile hawataki kuongozwa na kocha
Kila mtu anajiamulia, hawachezi kitimu kabisa. Yani kama vipi vipi tu
 
Back
Top Bottom