Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dorgu pale alikuwa anaruka ili afanye nini?


Na hapa tumekoswa lapili

 
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

My prediction

Manchester united 3 Vs Ipswich town 1

Watapigwa sana wale
Ipswich tayari tumepata goli letu moja, bado magoli yenu matatu šŸ˜‚
 
Carrick ni sawa na kijana wa field kazini, anajituma sana, ila muajiri sasa ndo Utasikia mm nafanya kazi zilizoandikwa kwenye mkataba mambo ya kutumwa kununulia watu mihogo sitaki tena šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom