Mimi nimeyaweka kwenye bet slip mbili moja yashinde nyingine yafunge goal mbili.Haya masenge sijui nimeyawekaje kwenye mkeka wangu.
Mzee tupo kwenye ligi uefa bado haijaanza
AnajisahauMzee tupo kwenye ligi uefa bado haijaanza
Hilo goli unaweza kulitumia kama mahari upewe mke 😂Kazi ipo leo
View attachment 3655020
Anajitoa ufahamuAnajisahau
Na unapewa room ya kuichapa hadi ichanganyikiwe bure kabisa 😁Hilo goli unaweza kulitumia kama mahari upewe mke 😂
Pole sana mkuu, awakukosea kuwaita manyumbu 🤣Mashetani mekundu kwumamae zenu mmetuchania mikeka.
Pole mkuu. Juzi niliongea hapa nikaishia kupata kejeli.