Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna huyu nyumbu alisema km Carrick angeanza msimu angechukua ubingwa kwa fact kwamba tangu alipofukuzwa Amorim, Carrick ndo kocha alieongoza kwa points! πŸ˜‚

Haya tunaona ameanza msimu wake! πŸ˜‚
Kwa kweli nampongeza sana aliowapa jina la manyumbu
 
Mkuu kubalini mna kikosi cha kawaida Sesko mmemsajili takwimu zake ni ndogo tena katokea ligi nyepesi, Santos kwetu namba alikuwa hapati kwenu kaja kuwa starter, Tieleman maji ya jioni, Baleba injury prone, mpaka Leo kweli mnamtegemea Shaw serious
Huu ukweli hawataki kukubali

Santos,Baleba na Teleman huwezi wategemea wakupe game nzuri mechi za EPL ,UCL NA carabao

Hiyo ni midfield ya level za kina Palace
 
Kipindi man u wanashinda carrick akiwa interim coach ulikuwa unaongea haya unayoyaongea? Carrick amefungwa mechi ya kwanza ya ligi, inaonekana ameshapoteza mechi 20.

Akili za kipimbi kabisa hizi.
 
Mkuu kubalini mna kikosi cha kawaida Sesko mmemsajili takwimu zake ni ndogo tena katokea ligi nyepesi, Santos kwetu namba alikuwa hapati kwenu kaja kuwa starter, Tieleman maji ya jioni, Baleba injury prone, mpaka Leo kweli mnamtegemea Shaw serious
Sesko msimu jana alizidiwa magoli machache sana na streka la magoli lililotoka sporting, Acha kula ugali mwingi mkuu.
 
Nilichogundua wengi wao wanapoza machungu ya kupigwa msimu uliopita kwahyo kuanza kwa kufungwa msimu huu ni kama wanalipiza kisasi cha machingu yao...walimaliza msimu wakiwa na maumivu ya kufungwa na man utd
Ukweli ni kwamba nyie mna team ya kawaida hampo kwenye level ya Arsenal, Chelsea, Man City, Liverpool hata Spurs mchezaji aliyekuwa anakaa benchi kwetu Santos nyie ndio first eleven starter kwa style hiyo unashindana vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…