Nyumbu hana EPL ukame uendelee 🤣Kazi ipo leo
View attachment 3655020
Manyumbu leo kazi ipoHull tayar wamepata 1, sasa tunawasubiri nyie nyumbu mpige hizo 3 😂
Huyu muwe mnafuatilia tabiri zake kama mnataka kupiga hela kwenye bettingWakubwa I'm back again🙏
Ni wale wale vijana barobaro wa tajiri Sir Jim wanashuka leoView attachment 3654883
Manchester united inacheza leo na dunia nzima inq furaha 😁😁😁
My prediction
Hull City 1 VS Manchester united 3
Tutachapa
Uaaaaa
Malizaaaa
Chinjaaaa
Mamaeeee
Manyumbu bhana wanafurahisha kinomaMANYUMBU MLISHAANZA KUNENEPA 😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Yaani serious hawa jamaa dogo tuliyewapa Haven anaanza kikosi cha kwanza.Muda bado upo, fanyeni usajili sio kuja kuomba mamasita awasaidie kuizuia The Arsenal ikifika January
Nyumbu hana EPL ukame uendelee 🤣
Hawana timu hao kelele nyingi kama chura kwenye majiYaani serious hawa jamaa dogo tuliyewapa Haven anaanza kikosi cha kwanza.
Nilikuwa sijui kama wana hali mbaya hivi...
Mimi nimeyaweka kwenye bet slip mbili moja yashinde nyingine yafunge goal mbili.Haya sijui nimeyawekaje kwenye mkeka wangu.