lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,209
- 28,109
Kikosi kile kile watu wana underperform walewale kwanini wengine wasiombe kusepa sasa.
Huyu kocha nadhani ni mbishi kuliko ETH, ni sikio la kufa.
Kikosi kile kile watu wana underperform walewale kwanini wengine wasiombe kusepa sasa.
Jamaa wamemtonya asitabiri🤣Bila utabiri wa allypipi hii game ishakua ngumu kwa burnley
Aje Baleba bila kumuuza Bruno, Bruno awe anaanzia tu benchi au awe ana altenate na Cunha. Shida ni pale tunapofosi kuwatu.ia wote.Ni muda wa Man Utd kumuuza Bruno, vuta Baleba hapo afu Cunha azime 10 pembeni Mbeumo na Amad pale Juu Sesko
Naunga mkono hojaTuendelee kula mtori nyama zipo chini
Jamaa wamemtonya asitabiri![]()


wamefanya game iwe ngumu kwa burnley