ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,583
- 24,492
Timu ngumu hii hutakiwi kuyumbishwa na media plus fans muacheHuyu kocha nadhani ni mbishi kuliko ETH, ni sikio la kufa.
Timu ngumu hii hutakiwi kuyumbishwa na media plus fans muacheHuyu kocha nadhani ni mbishi kuliko ETH, ni sikio la kufa.
Umfute kazi halafu ulete kocha mwenye mfumo mpya ili uanze mojaAmorim asiposhinda leo, afutwe kazi, hamna kusubiria mambo yaharibike sana kama kwa ETH.
Aendelee tu kusajili wachezaji wanofit kwenye mfumo wake mbona mambo yatakaa sawaKufundisha hawa wachezaji wa maniyuu ni kazi Sana aisee.....🙌
Naona Mbeumo , Amadi, maino , wanajitahidi....Aendelee tu kusajili wachezaji wanofit kwenye mfumo wake mbona mambo yatakaa sawa
Nuno Espiranto....Ukiacha mou ni kocha gani anaweza himili ile presha ya united wakuu
Huyu Kocha hawezi toboa kwa huu mfumo kwa sasa hapa united.....
Anatakiwa a switch kidogo ......sababu Timu inajitafuta ....so Cha kwanza ni kulinda ....
Ni bora kuanza mapema kuliko kusubiria mpaka mwisho kama mwaka jana.Umfute kazi halafu ulete kocha mwenye mfumo mpya ili uanze moja
Huyu huyu mpaka atushushe daraja
Sijui mwalimu anafoka Sana au vipi maana watu hawapo comfortable na BOLI .....plus Bruno wangechukua tu Ile hela ya wale waarabu .....anapoteza mipira Sana ....na mfumo wa huyu Br unataka viungo muwe wasolid hampotezi potezi BOLI... Manutd wangepata vijana wawili swaafi kabisa ....wakakiwasha pale kati.Kwajinsi tunavyocheza sioni kabisa Amorim akitoboa huu msimu..
Sesko anahaki ya kukosanraha
Presha ya spurs tu imemshinda ndio ataiweza ya unitedNuno Espiranto....
Yule mtoto aende tu chelsea kwa mkopoNi bora kuanza mapema kuliko kusubiria mpaka mwisho kama mwaka jana.