fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,380
- 9,766
Mpira unaanza saa ngapi huu?Baada ya kelele nyingi leo Mainoo kaanza. Ngoja tuone pira letu “back pass”
Mpira unaanza saa ngapi huu?Baada ya kelele nyingi leo Mainoo kaanza. Ngoja tuone pira letu “back pass”
Samahani mwenye link...naomba atumeMpira unaanza saa ngapi huu?
Leo tunashinda kuanzia goli 5+Leo mnashinda kwakua mnahitaji kuboost morale so mtakaza
Labda washinde njaa, watoto wanavyowasaka.Leo mnashinda kwakua mnahitaji kuboost morale so mtakaza
Tumenyimwa la pili dah.Labda washinde njaa, watoto wanavyowasaka.
Nyumbu0 Grimsb1
La pili, Onana hahahahhaTumenyimwa la pili dah.
Dakika ya 30 tushapigwa 2-0Mpira unaanza saa ngapi huu?
KubababakeLeo mnashinda kwakua mnahitaji kuboost morale so mtakaza
Wazee wa kuua vipaji, mmesha ua kipaji cha dogo sasa ni zamu ya kuua kipaji cha Mbeumo 🤣🤣🤣Baada ya kelele nyingi leo Mainoo kaanza. Ngoja tuone pira letu “back pass”