Camavinga yule black mfaransa, kama ni huyo bora tumchukue hojlmund. Wa Lisbon mkuu ogopa sana real Madrid kumuuza mchezaji.Leo kwa mbali sana niliona tetesi za Eduardo Camavinga toka madrid kwa ada ya uhamisho £69.1. Kwa mwenye uelewa wa hii taarifa tafadhali atutie moyo kidogo maana kwenda mzigoni bila midfielder itakuwa balaa.
MwehuNyie takataka hivi mnafikiri na kunya wetu atawapeleka wapi
Baada ya kusajili wachezaji mnasajili mabosi wa timu
Mchezaji mfupi kama kibwengo wanamuita mbung'o sijui
Sawa gigy moneyNyie takataka hivi mnafikiri na kunya wetu atawapeleka wapi
Baada ya kusajili wachezaji mnasajili mabosi wa timu
Mchezaji mfupi kama kibwengo wanamuita mbung'o sijui
Are yeyote lakini sio camavingaWharton wa crystal palace me naona Kwa midfield anafaa sana kuliko hujlmud wa sporting cp au Angelo stiller wa Stuttgart ambao naona tuna tetesi nao.
Tunaweza kuchukua wote Wharton dirisha na baleba dirisha lijalo.
Msimu huu hatutii huruma timu imesajili kuliko tulivotarajia
Mkuu nimefurahi kukuona ulikua umepotea sana
Nipo ila tumekuwa wachunguliaji zaidiMkuu nimefurahi kukuona ulikua umepotea sana
SawaNipo ila tumekuwa wachunguliaji zaidi
Hii kauli ni zaidi ya ukweli.Camavinga yule black mfaransa, kama ni huyo bora tumchukue hojlmund. Wa Lisbon mkuu ogopa sana real Madrid kumuuza mchezaji.