King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,987
Camavinga yule black mfaransa, kama ni huyo bora tumchukue hojlmund. Wa Lisbon mkuu ogopa sana real Madrid kumuuza mchezaji.Leo kwa mbali sana niliona tetesi za Eduardo Camavinga toka madrid kwa ada ya uhamisho £69.1. Kwa mwenye uelewa wa hii taarifa tafadhali atutie moyo kidogo maana kwenda mzigoni bila midfielder itakuwa balaa.