Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,667
Hapo sawa
No ni kikundi cha madalali
No ni kikundi cha madalali
unahakika au unaleta story za kwenye free Wi-Fi
Si ukaposti kwenye page yenu sasaIsak ni mali ya Liverpool whether you like it or not
Washabiki wengi wa Liverpool huwa wana acute psychosis.Si ukaposti kwenye page yenu sasa
Janja yao, wamesema watabid Newcastle wakishapata mbadalaLiverpool washasema hawata bid tena kama Newcastle haitokuwa tayari kufanya mazungumzo. Sasa wewe ni nani useme hayo?
Mashabiki wengi wa Manure mmebaki kuwa waganga wa kienyeji, mpira tena basiWashabiki wengi wa Liverpool huwa wana acute psychosis.
Huyu dingi kadanganya na umri kabisa ..😂Huyu mwamba yupo vizurii
View attachment 3430612
Huyu dingi kadanganya na umri kabisa ..😂
Na mwili kama wa mwijaku🤣 ...kidingi kiongo sana hiki na kitambi chake
Sawa lembu A.K.A lembua.Mashabiki wengi wa Manure mmebaki kuwa waganga wa kienyeji, mpira tena basi
Duh! Ndio mmefikia huku kweli???Hatimae tumenyanyua kwapa
NdioDuh! Ndio mmefikia huku kweli???
tunacheka mbele za watoto jamani..