Paz3i
JF-Expert Member
- Oct 11, 2014
- 1,034
- 1,521
gharama yake tatizoKwani huyu Dogo habebeki maana kesha Prove.View attachment 3376798
gharama yake tatizoKwani huyu Dogo habebeki maana kesha Prove.View attachment 3376798
gharama yake Bei gani ndugu?..?
Bila 150M humchukui, hatuna ubavu Sasa hivi wa kutoa hii pesa. 150M unapata wachezaji wawili.Kwani huyu Dogo habebeki maana kesha Prove.View attachment 3376798
Ubavu upo...sema hatuwezi toa hiyo pesa aje kucheza ligi tu bila uefaBila 150M humchukui, hatuna ubavu Sasa hivi wa kutoa hii pesa. 150M unapata wachezaji wawili.
150M unapata wachezaji karibu wawili tena wazuri.Ubavu upo...sema hatuwezi toa hiyo pesa aje kucheza ligi tu bila uefa
Chelsea wachawi...saiv wapo na arsenalHivi ilikuaje Man Utd wakamsajili Mason Mount?
Mdogo wake Chaba. Wenyewe hawana smart phones hata hawajui kama wamekuwa maarufu wanataniwa mpaka group la Timu ya Kihistoria ya MUFC.Huyu mbona kama mHadzabe.
Achukuw tu, ila kombe asahauNaona kuna uwezekano mkubwa wa arsenal kuwachukua viktor gyokeres na sesko.
Huwezi jua wamejipangaje msimu huu.Achukuw tu, ila kombe asahau
Ni kama Simba tu, kila kitu ni bahatiHuwezi jua wamejipangaje msimu huu.
Hivi ilikuaje Man Utd wakamsajili Mason Mount?