Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,392
- 2,878
CEO wa Manchester united Mr. Omari Berada
"Tuna project ya kuchukua EPL 2028"
Wazee hapa tuwe wapole na ndio maana sajili za vijana zinapewa kipaumbele sana, angalia amad, maino, ugarte, yoro, obi Martin, heaven, Kone, etc
Lkn hii haifanyi tusisajili senior players, lkn ni Kwa utaratibu tena bila papara huku project ikipaliliwa Kwa ustadi.
We're cooking