Umeishiwa hojaChelsea kufika nusu fainali kombe la dunia ni sawa na nyumbu kushinda UCL 😂
Sasa Man U mna hoja gn wakati hamko kwenye serious tournament yoyote ile 😂Umeishiwa hoja

Kwa jinsi Man Utd tunavyoingia dirisha la usajili imekuwa ngumu sana kubashiri tutasajili kwa kuboresha au kufumba macho washabiki. Ila kama tutasajili kwa uzingatia mapungufu yetu ya msimu ulioisha, nadhani idara zote 3 zinahitaji maboresho walau mchezaji mmoja mmoja. Ingawa idara ya ushambuliaji inahitaji maboresho zaidi pamoja na kiungo.Mkuu hivi usajili wa united unaweza predict nini maeneo tutasajili dirisha hili
Mkuu Assalam alaykum 😀😀....nawaomba sana Manunu msajili vzuri msimu huu msije kituaibisha Tena kama mwaka jana....sajilini vzuri maaa mechi ya kwanza tunawafata pale matofalini jmni....msije kuanza mitusi kama kawaida yenu mechi ya kwanza muanze Amorim outNaskia eti mnataka tena kutuuzia Nkunku?
Yaani mnataka mfanye swap ya Nkunku kwa Garnacho + £30m juu tuwape.
Hivi kwani Utd na Arsenyau nyie kenge mnatuchukuliaje?
Kuweni na huruma basi, wodi zote pale matofali ya kuchoma zimejaa halafu mnataka mmtuongezee maharamia mengine ya kuyatibu.
Mkuu Assalam alaykum....nawaomba sana Manunu msajili vzuri msimu huu msije kituaibisha Tena kama mwaka jana....sajilini vzuri maaa mechi ya kwanza tunawafata pale matofalini jmni....msije kuanza mitusi kama kawaida yenu mechi ya kwanza muanze Amorim out


Waalaikum Salaam, mkuu umeadimika sana siku hizi. Asante Kwa maelezo...nasikia tunamtaka ederson wa antalanta na ndindi wa Leicester city....mbele sioni kama tuna mvuto wa kuleta striker wa jina kubwa, labda yule Kean wa italia na wengine wa timu ndogo....Kwa jinsi Man Utd tunavyoingia dirisha la usajili imekuwa ngumu sana kubashiri tutasajili kwa kuboresha au kufumba macho washabiki. Ila kama tutasajili kwa uzingatia mapungufu yetu ya msimu ulioisha, nadhani idara zote 3 zinahitaji maboresho walau mchezaji mmoja mmoja. Ingawa idara ya ushambuliaji inahitaji maboresho zaidi pamoja na kiungo.
Idara ya ulinzi inaweza kusubiri msimu ujao au dirisha dogo kama italazimika sana maana kwa hali yetu hatushiriki champions league hivyo tumekosa mvuto kwa wachezaji wazuri. Pia tukifanya usajili mzuri wa eneo la kiungo, automatically kwa asilimia kubwa hata eneo la ulinzi litaimarika.
Yule msimu huu mnamtimua hakyanani....maana sioni mkimaliza top 10....Waalaikum Salaam, mkuu umeadimika sana siku hizi.
Binafsi kwa sasa sitamani kuona timu yetu inasajili wachezaji wenye majina makubwa, hawa wa majina makubwa kila wakija united wanaishia kupotea tu bila mchango wao kuonekana, sasa hivi natamani kuona Amorim anadeal zaidi na wachezaji chipukizi, pale kwenye Academy yetu tuna hazina kubwa sana, naimani kabisa Amorim akiwaamini na kuwapa nafasi baada ya misimu miwili tu project yake itakua na mafanikio makubwa kuliko misimu 7 ya project ya Tetea Kiwigi.
😂😂😂Ukitaka kujua Erik Kichwa ngumu ni tapeli wale wachezaji aliowanunua akiwa unyumbuni wapo sokoni tena kwa bei cheap kuliko alivyowapiga nyumbu ila kuwanunua akafe nao Leverkusen hataki.
Wakina Malacia, Antony, Eriksen
Tupeni hata Bure mana hata hela ya kununua hatuna ...tupo tu kama jumba bovuNjoeni chelsea tuwape jackson bonge la FOWARD mtakuja kutushukuru baadae