Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,355
- 2,792
Mfu
Kocha msimu ujao awe flexible yaan awe na substitute ya mfumo wa either 3:5:2 au 3:4:3
mfumo wa 3:4:2:1 naona ni mfumo mgumu sana.Hakuna Updates zozote pia dirisha limefungwa mpaka tarehe 16/06/2025 ndio litafunguliwa tena Tuombee mema tu.
Kocha msimu ujao awe flexible yaan awe na substitute ya mfumo wa either 3:5:2 au 3:4:3