Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Attachments

  • FB_IMG_1739168074386.jpg
    FB_IMG_1739168074386.jpg
    138.3 KB · Views: 20
Katika karne hii kuwa na wachezaji kama
Mount, Shaw, Dorgu, Lindelof, Onana, Mazroui, Ugarte, Zirkzee, Amad, Bayindir, Heaton, Dalot, halafu kocha bishoo hii ni aibu kubwa sana.
 
min -me
Wee meku, njoo hapa unijibu, nilikuambiajeee?
😂😂😂😂😂😂 coca anafanyaa maajabu ktk utabiri, anazidi kuwashangaza waja. Lol
 
Katika karne hii kuwa na wachezaji kama
Mount, Shaw, Dorgu, Lindelof, Onana, Mazroui, Ugarte, Zirkzee, Amad, Bayindir, Heaton, Dalot, halafu kocha bishoo hii ni aibu kubwa sana.
Hawa wachezaji ukimpata mtu km Ancelotti anawafanya CR7 shida ni watu wanaowaongoza,angalia Al Ahly wachezaji wao wa kawaida sn lakini makocha wao wanambinu sn zakushinda makombe
 
Nimesikitika mno

Beki wa tatu nyuma wakati timu pinzani inakabia nusu uwanja na unatafuta goli.

Man U imeoza kila angle.
 
Wakat ule tunasema timu wapewe yule mwarabu ambaye kiuhalisia ni shabiki wa kutupwa wa hii timu mkamuona mavi ,,,mkaleta uingereza wa kipumbavu, na zaidi mashabiki nao ni mapalamanga mambuzi tu hata wao wamechangia kwa kias kikubwa na wanawalewa Hawa mavi viongozi
 
Anzisha timu Yako umpe huyo mwarabu acha kubwekabweka hovyo kwenye Mali za wanaume
 
Back
Top Bottom