kubababake hii inaitwaje kitaalamu hii?Aliewanyima manure ubingwa
Aamin, aamin, aamin fellow muslims tuseme aamin dua njema hiiNyumbu utd imebaki story tu, hii timu ilifanya dhulma nyingi sana enzi za babu ma-big G sasa ni muda wa kulipa dhulma hizo dadadek! Na bado jiandaeni kushuka daraja kabisa msimu ujao(Mark my word)
Yule muarabu wa Qatar wasingemzingua jamaa alikua tayari kuwekeza na kufuta baadhi ya madeni,itafika sehemu hata Mainoo atauzwa ilikuweka vitabu sawa,timu haina hela kwahio lazima walipe mishahara mikubwa ili wachezaji waje bila hivyo ndio kua na magalasa tuHili timu limelogqa na aloliloga kafa
Watafute na timu za kueleweka😂....hiki kishakua kigenge Cha wanenguajiTafuteni kipa wa kueleweka
Hapa kwa HOJLUND tulipigwa..tulipigwa sana.
Hawa wachezaji ukimpata mtu km Ancelotti anawafanya CR7 shida ni watu wanaowaongoza,angalia Al Ahly wachezaji wao wa kawaida sn lakini makocha wao wanambinu sn zakushinda makombeKatika karne hii kuwa na wachezaji kama
Mount, Shaw, Dorgu, Lindelof, Onana, Mazroui, Ugarte, Zirkzee, Amad, Bayindir, Heaton, Dalot, halafu kocha bishoo hii ni aibu kubwa sana.
Nyumbu ni nyumbu tuu hata mngecheza na kikombe cha chai chai ingewaunguza na kuwafunga. teh tehAliewanyima manure ubingwa 🤣😂
View attachment 3341548
Wahenga walisema "kufa hufi ila chamoto utakiona". Daraja hamtashuka ila majuto ya kuwa kwenye EPL yatawajaa.Tushuke tu daraja tukaanze upya
Anzisha timu Yako umpe huyo mwarabu acha kubwekabweka hovyo kwenye Mali za wanaumeWakat ule tunasema timu wapewe yule mwarabu ambaye kiuhalisia ni shabiki wa kutupwa wa hii timu mkamuona mavi ,,,mkaleta uingereza wa kipumbavu, na zaidi mashabiki nao ni mapalamanga mambuzi tu hata wao wamechangia kwa kias kikubwa na wanawalewa Hawa mavi viongozi
na ndio hiki wamnakiona walitusema sala liverpool na miaka yetu 30 sasa wao hawastuki washatoboa 10+Wahenga walisema "kufa hufi ila cha moto utakiona". Daraja hamtashuka ila majuto ya kuwa kwenye EPL yatawajaa.