Hajawanyima, ndo kazi yake huyo.Aliewanyima manure ubingwa 🤣😂
View attachment 3341548
Unacheza fainali.Kombe lenu hili mmeshachukua mara nne mfululizo 😃😃
Kila mwaka mafanikio ni kupata nafasi ya UEFA
Kuchukua Aaah😃😃
Rudi mapema.Daah! Kmk, bora nirudi kwa Albions.
Unamuuliza nani nyumbu?Nini kilifanya MOUNT aanze badala ya GARNACHO?