Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,812
- 75,458
Karibu Champions League mzee wa kua na successful campaign kuliko Arsenal.
Punda kabisa
Karibu Champions League mzee wa kua na successful campaign kuliko Arsenal.
Mount MuingerezaNini kilifanya MOUNT aanze badala ya GARNACHO?
Kombe lenu hili mmeshachukua mara nne mfululizo 😃😃Karibu Champions League mzee wa kua na successful campaign kuliko Arsenal.
Punda kabisa
Kipato huleta majivuno 😂🤣🤣
Ni kweli spur walianza kupoteza muda dakika ya 55.Unaambiwa Man U leo ndo wamecheza mchezo bora kwenye mashindano hayo 😂
Sio kosa, n mbinu ya mchezo.Ni kweli spur walianza kupoteza muda dakika ya 55.
Tushuke tu daraja tukaanze upyaSasa kilichobaki ni Tottenham kuchukua nafasi ya 16 na nyie mmalize ya 17.
Hawa jamaa hawatoboa game ya mwisho.Sasa kilichobaki ni Tottenham kuchukua nafasi ya 16 na nyie mmalize ya 17.