Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,735
- 9,487
Wale wasenge wanakimbia sio poa babu casemiro atatapishwa damu😅😅Ukiangalia ukuta wetu, kiungo chetu na safu yetu ya ushambuliaji ukajilinganisha na Spurs, unashindwa kujua tutafanya lipi la maana kumzuia asichukue ubingwa wa Europa.