Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya!Man U nawatieni moyo,mkajipange upya jamani,mpira ni kama kisulisuli,hujui kitakuwa wapi muda mfupi ujao,mmekuwa strong for almost 8 years in CL lakini sasa soka ipo Man city,Chelsea,Bayern,Atletico etc!mnahitaji something new and different,cha kujiuliza ni je,Moyes anao uwezo wa kuleta "upya" huo?poleni sana wakuu!haya ni maisha bila Fergie,yatapita tu!
 
Draw ya nusu fainali ijumaa ya 11/04/14 saa 7 mchana kwa masaa ya Afrika ya Mashariki

NUSU FAINALI YA KWANZA TAREHE 22 NA 23 APRIL 2014 NA YA PILI 29 NA 30 APRIL 2014.
 
Barca wametolea, United, Arsenal wametolewa je hizi ni dalili za new world order inayokuja ama? Tofauti ni kwamba Barca watarudi msimu ujao na United na Arsena wanaelekea kukosa UCL kwa mara ya kwanza ndani ya miaka sijui kumi na ngapi? Ipo kazi
 
Lakini tukubali mkuu leo hawakuwa kwenye kiwango sana. ni uzembe wetu kidogo tu umetuponza.ungetupia macho kidogo game ya a.madrid na barcelona ungejua best club ni ipi.
So proud of my team...beaten by the best team in Europe...
 
DonDonald,Nzi,Belo tutakutana Europa league mwakani. Poleni sana wakuu mmekufa kama sisi, kumbukeni kifo ni kifo kije mapema au late bado ni kifo.

Hahaha..! Safi sana umeamua kuwafariji jamaa huu ndiyo uanamichezo

Chukua mia chini ya mia
 
So proud of my team...beaten by the best team in Europe...

Arsenal tulipotolewa na Bayern hawa hawa mlikuwa mnasema sisi ni wachovu leo Bayern wamewatoa mnashangilia mmetolewa na Best team.
 
Hapana evra ni mpambanaji. si nilisikia Vidic anaenda sijui Juventus aende mapema aachie vijana wacheze pale kati. LB kafanya kosa kamuachia mtu anapiga krosi inatua kati yako wewe(vidic)na forward wa timu pinzani pambana uhakikishe hapigi huo mpira.sio unashindwa kuokoa kwa kuwa eti LB alishafanya kosa. mbona zilizokuwa zinatua kwa Jones na Smalling walikuwa wanazitoa!!
Evra is a liability...we don't need him anymore...
 
Gotze kaua kipaji kabisa alivyoenda Buyern..
Kweli ndio Matatizo ya player wanaoitwa New Messi! Messi ni Mmoja tu Gotze kiwango kimepotea sana.. Turudi kwenye Man United Poleni sana walichokosea baada goli ukichokoza nyuki kimbia sio unapumzika hapohapo chini ya mtu wakati United Player wanavuta Sox vizuri wenzao wamekuja Speed kama wamewaamsha Bayern Munich mapema United wangepata goli la kwanza kuwa 1-0 ingekuwa ni dk ya 80 ingekuwa habari nyengine mtazoea POLENI!
 
Sisi tumetolewa katika level nyingine. Level ya juu. Level ambayo hata huyo unaemuona mchawi wa mpira (barcelona) anatolewa.
arsenal tulipotolewa na bayern hawa hawa mlikuwa mnasema sisi ni wachovu leo bayern wamewatoa mnashangilia mmetolewa na best team.
 
Ndo hivyo hatukuwa na usajili mzuri, na timu yetu ndo hiyo tujipange msimu ujao wa ligi!
 
Kweli ndio Matatizo ya player wanaoitwa New Messi! Messi ni Mmoja tu Gotze kiwango kimepotea sana.. Turudi kwenye Man United Poleni sana walichokosea baada goli ukichokoza nyuki kimbia sio unapumzika hapohapo chini ya mtu wakati United Player wanavuta Sox vizuri wenzao wamekuja Speed kama wamewaamsha Bayern Munich mapema United wangepata goli la kwanza kuwa 1-0 ingekuwa ni dk ya 80 ingekuwa habari nyengine mtazoea POLENI!

hahhaha wameshazowea
 
ImageUploadedByJamiiForums1397077227.712308.jpg
 
Back
Top Bottom