Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,812
- 75,458
Erik anaenda na upepo.
Mchezaji anayemuokoa kibarua mechi inayofuata lazima apangwe 😅😅
Villa wameingia na low block. Wa kuifumua low block kwa nyumbu naona ni yule Amad, Garnacho watu wakishachoka miguu na Eriksen. Yule mlalamishi anazijaribu trivela huu mwaka wa saba hakuna inayozaa matunda sioni anawaokoaje na hilo haram football.
Hata hivyo Villa akiona mmezubaa hashindwi kuanza kumiliki yeye mpira.
Mpaka sasa Villa kafungwa na Arsenal tu. Mkikomaa mtakua wa pili